BE FORWARD.JP

BE FORWARD.JP
JAPANESE CAR EXPORTER

Tuesday 16 July 2013

LULU MSANII BORA ZIFF

MSANII wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu juzi aliibuka kinara na kuwa mwigizaji bora wa kike katika kitengo cha Swahili Bongo Movies Award kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar.
Lulu ambaye alitumia zaidi ya nusu ya mwaka jana akiwa mahabusu, kufuatia kesi inayomkabili ya kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba, alishinda tuzo hiyo inayotolewa na Kampuni ya ving’amuzi ya Zuku kupitia filamu ya Women of Principle ambayo alicheza pamoja na wasanii wengine mahiri Nargis Mohammed na Vicent Kigosi. Filamu hiyo ndiyo ilikuwa ya mwisho kwa Lulu kucheza kabla ya kukamatwa


soma zaidi...http://www.mtanzania.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=8071:lulu-atwaa-tuzo-ya-msanii-bora-ziff&catid=41:sanaa&Itemid=94

No comments: