BE FORWARD.JP

BE FORWARD.JP
JAPANESE CAR EXPORTER

Tuesday 16 July 2013

SASA FEZA KESI ATANGAZA KUZAA NA MSHIRIKI WA BBA..


Mshiriki  anayeiwakilisha Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’ amemwambia mchumba wake raia wa Botswana, Oneal kuwa angependa azae naye watoto.
Wapenzi hao waliopo Ruby House walikuwa wakiongea mipango kuhusu uhusiano wao kwenye chumba cha Rendezvous mjengoni humo.
 
“Please put a little thought into your answers,” anasikika Oneal akimwambia Feza.
 
“Natamani tungekuwa na mazungumzo haya bila kamera zozote zinazotuzunguka,” Feza alimjibu Oneal.

Lakini baadaye alimjibu, “Nataka furaha na wewe, future, nataka mahaba, nataka watoto, nataka maisha na wewe.” 

soma zaidi



No comments: