BE FORWARD.JP

BE FORWARD.JP
JAPANESE CAR EXPORTER

Tuesday 16 July 2013

Meya CCM akalia kuti kavu Arusha


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akizungumza kwenye Ofisi za Halmashauri ya Arusha akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi. Kutoka kushoto mstari wa mbele ni Jeremiah Mpinga (Elerai), Edmund  Kinabo (Themi), Kessy Lewi (Kaloleni) na Rayson Ngowi (Kimandolu). 
 Kitendo cha Chadema kutetea viti vyake vinne vya udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa juzi, kimetafsiriwa kwamba ni kumfanya Meya wa Jiji la Arusha, Gaudence Lyimo kukalia kuti kavu. Kwa ushindi wake huo, Chadema kimefikisha viti 15 kwenye Baraza la Madiwani la Arusha wakati CCM kimebakiwa kuwa na viti 12 wakati TLP ina viti sita.
Pia Chadema kina nafasi ya kuongeza kiti zaidi kwani ina nafasi moja ya viti maalum iliyokuwa ikishikiliwa na Rehema Mohamed aliyetimuliwa mwaka 2011

Endelea kusoma...http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Meya-CCM-akalia-kuti-kavu-Arusha/-/1597332/1916360/-/ks4memz/-/index.html

No comments: