BE FORWARD.JP

BE FORWARD.JP
JAPANESE CAR EXPORTER

Tuesday 16 July 2013

MASHIRIKA MAKUBWA YA KIJASUSI DUNIANI YAGUNDUA AGENDA YA SIRI INAYOENDELEA NCHINI TANZANIA

Habari za kuaminika zinasema kuwa MASHIRIKA MAKUBWA YA KIJASUSI duniani yamegundua ajenda ya siri inayofanywa na kundi la watu wachache Tanzania linalojumuisha matajiri wa bongo wenye asili ya kibantu, asia, Kenya, Uganda na  Rwanda kuaanza kuimiliki Nchi hiyo(Tanzania) ifikapo mwaka 2020. Wataamua jinsi gani ya kuiendeaha nchi hiyo, pamoja na kuamua nani awe rais wa nchi, nani awe mbunge, nani Jaji Mkuu, nani mwanasheria mkkuu wa serikali na wengine kwa matakwa yao. Wataamua nani aishi na nani afutike nk. Ni habari za kutisha sana lakini ni za kweli. Dar talkRadio imezinasa itawaletea habari nzima baada ya uchunguzi kukamilika. Usikose kusikiliza radio hii kwa matukio muhimu duniani.
Habari zimeendelea kusema kuwa kundi hilo lilizaliwa wakati serikali ya awamu ya kwanza ya Mzee Nyerere kuwa madarakani. Toka kipindi hicho Kundi hilo limekua (grew) taratibu na kupata nguvu za kiuchumi bila serikali kujua. Likaendelea kujitanua karibu nchi nzima likiwatumia watumishi mbalimbali wa umma na watanzania wengine bila wao wenyewe kujijua. Limeendelea kujitanua (kuji- establish) wakati wa serikali ya awamu ya pili na tatu na hivi sasa linakaribia kuridhia adhma yake. Serikali ya sasa ina nafasi kubwa sana ya kuliangamiza kundi hilo kuliko serikali nyingine yeyote ijayo kwani itakuwa zimeshachelewa (too late).

 

No comments: